Lipo Tumaini.

Je Umekuwa ni Mtu wa Kukata Tamaa Kirahisi?

Je Umekuwa Ni Mtu Unaepitia kwenye Magumu Mara Kwa Mara?

Umefika Mahali Unaona Maisha Yako Hayana Maana Tena?

Usiishie Njiani Tupo kwa ajili ya kurudisha Tumaini lililopotea, tupo kwa ajili ya kukupa nguvu mpya na matumaini ya kweli yatakayokurudisha katika njia ya kuelekea kwenye maono yako makubwa.

Karibu sana kwenye Huduma ya Usiishie Njiani kazi yetu ni kurudisha tumaini lililopotea katika maisha yako. Ile ndoto yako ambayo umeanza kuona haiwezekani tena kwa kupitia huduma yetu tunakwenda kuirudisha tena.


Ayubu 14:7;

“Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma. ““Maumivu Unayopitia Yamekaribia Kufika Mwisho, Unakwenda Kutabasamu Tena”

Jacob Mushi


TUANDIKIE UJUMBE HAPA


Wasiliana nasi kwenye WhatsApp namba +255 654 726 668. Pia Unaweza Kutuma Ujumbe WhatsApp moja kwa moja, bonyeza Button